
WADAU WA SEKTA BINAFSI TABORA WATOA MAONI KUHUSU MKUMBI II
Wadau wa sekta binafsi mkoani Tabora wamewasilisha maoni na mapendekezo yao kwa Timu ya Kitaifa ya Wataalamu inayoratibu maandalizi ya awamu ya pili ya Mpango wa Maboresho ya Mazingira ya Biashara na Uwekezaji (MKUMBI II), ambayo ipo mkoani humo kwa ajili ya kukusanya maoni kutoka kwa wadau mbalimbali. Timu hiyo inaendelea na kazi ya ukusanyaji…