
Waratibu elimu Ifakara watwishwa zigo usimamizi miradi ya maendeleo
Ifakara. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Ifakara, Pilly Kitwana amewaagiza waratibu elimu kata na wakuu wa shule za sekondari kuhakikisha wanasimamia vizuri miradi ya maendeleo katika shule zao. Kitwana ametoa agizo hilo leo Julai 10, 2025 alipofanya kikao na waratibu elimu kata na wakuu wa shule za sekondari za Serikali na binafsi zilizopo katika halmashauri…