
DKT. ALLY SIMBA APITISHWA KUWANIA UBUNGE CCM MOROGORO MJINI
Na Mwandishi Wetu KAMATI Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa imelipendekeza jina la Mkurugenzi Mtendaji Shirika la Mawasiliano Afrika Mashariki DK Ally Simba, kuwania Ubunge katika Jimbo la Morogoro Mjini akichuana na wagombea wengine sita akiwemo aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo Abdulaziz Abood. Dk Simba ambaye mbali na nafasi yake ya…