
ACT-Wazalendo yazngumzia tembo wanaoharibu mazao, wataja mkakati kukabiliana nayo
Tunduru. Kuvuna tembo na kupitia upya mipaka ya hifadhi ni miongoni mwa mambo yatakayotekelezwa na Chama cha ACT –Wazalendo, ili kupunguza changamoto ya uharibifu wa mazao na madhara kwa binadamu inayosababishwa na wanyama hao. Masuala hayo yatafanyika endapo ACT- Wazalendo itafanikiwa kushika dola katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 ambapo chama hicho kimewaomba Watanzania kuwaunga…