Aviator kukupa Simu ya Kisasa mwezi huu

MWEZI huu wa Julai, wapenzi wa michezo ya mtandaoni wana fursa ya kipekee ya kushinda simu za kisasa za Samsung A25 na kupata pesa nyingi zaidi kwa kushiriki katika promosheni ya Aviator inayotolewa na Meridianbet. Kuanzia tarehe 1 Julai hadi mwisho wa mwezi, wachezaji watapata nafasi ya kushinda moja kati ya simu nane za Samsung…

Read More

Walimu wapigwa msasa ufundishaji kidijitali

Dar es Salaam. Katika kuhakikisha shule za msingi na sekondari zinafundisha kidijitali, walimu wa shule hizo kutoka maeneo mbalimbali wamefunzwa kufundisha kwa njia hiyo ili kuboresha upatikanaji wa elimu bora. Mafunzo hayo yapo kwenye mradi wa kisasa wa ujifunzaji wa kidijitali unaolenga kuboresha upatikanaji wa elimu kupitia teknolojia wa Airtel Tanzania kupitia Airtel Africa Foundation,…

Read More

Taliri tuko tayari kushirikiana na wafugaji

Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania (TALIRI) Prof. Erick Komba amesema taasisi hiyo ipo tayari muda wote kushirikiana na wafugaji na wadau mbalimbali wa mifugo katika kubaini na kutatua changamoto za mifugo lengo ikiwa ni kuongeza tija kwenye ufugaji kwa kuwa na teknolojia bora na hivyo kuongeza mchango wa sekta ya mifugo…

Read More

Taoussi apata timu ya Ligi Kuu Morocco

ALIYEKUWA Kocha wa Azam FC, Rachid Taoussi ameajiriwa na Klabu ya Kawbad Athletic Club Of Marrakech (KACM) itakayoshiriki Ligi Kuu Morocco msimu ujao 2025/26. KACM iliyopanda Daraja kucheza Ligi Kuu Morocco msimu ujao, imemtambulisha rasmi kocha Taoussi kwa mkataba wa miaka miwili hadi mwaka 2027. Taoussi ambaye ni raia wa Morocco ni miongoni mwa makocha…

Read More

Makatta ajitwisha zigo la Polisi Tanzania

MABOSI wa Polisi Tanzania wamempa mkataba wa miaka miwili, Mbwana Makatta, baada ya kocha huyo kutokuwa na timu tangu mara ya mwisho alipoachana na Tanzania Prisons Desemba 28, 2024, kutokana na mwenendo mbaya katika Ligi Kuu Bara. Makatta aliyewahi kuinoa Polisi Tanzania, alitambulishwa Julai 9, 2025, Jijini Dodoma na Mwenyekiti wa klabu hiyo,  Kamishna wa…

Read More

Chadema wamkataa jaji kesi kugombea rasilimali

Dar es Salaam.  Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kupitia Bodi ya Wadhamini wake waliosajiliwa, kimewasilisha maombi ya kumtaka Jaji Hamidu Mwanga anayesikiliza kesi yake ya mgogoro wa mgawanyo wa rasilimali za chama, ajiondoe kwenye kesi hiyo. Pia chama hicho kimefungua shauri la maombi kikiiomba Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam, iondoe amri zake…

Read More

Kazi ipo hapa kwenye ufungaji BDL

WAKATI timu zikiwa zimebakiza michezo saba kila moja kukamilisha mzunguko mmoja wa Ligi ya kikapu Dar es Salaam (BDL), shughuli ni nzito kwa wafungaji kutokana na ushindani mkubwa uliopo. Nyota wanaowania ufungaji bora hadi sasa ni Ntibonela Bukeng (Savio), Godfrey Swai, (Savio), Yasini Shomari (Mgulani JKT), Enerico Maengela (ABC), Jamel Marbuary (Dar City) na Jonas…

Read More