Kamati ya maadili ya uchaguzi yazinduliwa
Unguja. Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), Jaji Aziza Suwedi, amezindua rasmi kamati ya maadili ya uchaguzi ya kitaifa ikiwa ni hatua muhimu katika kuhakikisha uchaguzi wa baadaye mwaka huu unakuwa huru, haki na wa amani. Uzinduzi wa kamati hiyo ni sehemu ya mchakato wa kushirikisha wadau wa uchaguzi hususan vyama vya…