
Chanjo ya mifugo kuondoa migogoro ya wakulima na wafugaji Pwani
Bagamoyo. Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Dk Ashatu Kijaji amesema hatua ya Serikali kuanza kampeni ya chanjo ya mifugo inalenga kutatua changamoto sugu zinazowakabili wafugaji, ikiwemo ukosefu wa masoko ya uhakika, migogoro na wakulima na wizi wa mifugo. Akizungumza Julai 9, 2025 katika uzinduzi wa chanjo hiyo kwa Mkoa wa Pwani uliofanyika katika Kijiji cha…