
‘Amani ya nchi imo mikononi mwa vyombo vya habari’
Dar es Salaam. Wadau wa habari wamesema ili nchi ya Tanzania iendelee kuwa na amani na utulivu, vyombo vya habari vina jukumu la kulinda hali hiyo kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Mwaka huu Tanzania, itafanya uchaguzi mkuu utakaowaweka madarakani Rais, wabunge na madiwani kwa kipindi cha miaka mitano ijayo. Hayo yamesemwa…