
Wakulima nchini wahimizwa kulima mazao ya asili
Dar es Salaam. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo anayeshughulikia masuala ya maendeleo ya mazao, usalama wa chakula pamoja na ushirika, Dk Stephen Nindi ametoa wito kwa wakulima kuyakumbuka mazao ya asili ambayo kwa sasa yanaonekana kusahaulika nchini. Nindi ameyasema hayo Julai 8, 2025 wakati wa ufunguzi wa awamu ya pili ya mradi wa…