WAZIRI MCHENGERWA APONGEZA KIBAHA KWA UFAULU, ATOA MAELEKEZO MAHUSUSI

Na John Mapepele Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe, Mohamed Mchengerwa ameupongeza uongozi wa Shule ya Sekondari ya Kibaha kwa kuendelea kuwa na matokeo ya ufaulu mzuri huku akiwataka kutoshuka. Mhe. Mchengerwa ametoa kauli hiyo jana wakati alipotembelea shule hiyo na kukagua miundombinu ya madarasa, mabweni,maabara na baadaye kushuhudia wanafunzi waliokuwa wakijiunga na kuzungumza…

Read More

Unalala kitanda kimoja na mtoto wako? Hili linakuhusu

Dar es Salaam. Ingawa kulala pamoja na mtoto mdogo kitandani kunaweza kuwa na faida kama kuimarisha uhusiano wa karibu ‘bond’, kurahisisha huduma za usiku na amani kwa wazazi, tafiti zinaonyesha uamuzi huo unaweza pia kuleta athari hasi kwa mtoto. Wanasayansi wamesema mtoto anayelala katikati ya wazazi wake wawili, huua uhuru wake wa kihisia na kujitegemea,…

Read More

RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE ASHIRIKI MKUTANO WA JARIDA LA UONGOZI LA AFRIKA

  Mheshimiwa Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, ameshiriki katika Mkutano Mkuu wa Afrika ulioandaliwa na Jarida la Uongozi la Afrika (African Leadership Magazine) na Taasisi ya Uongozi wa Afrika (African Leadership Organization) jijini London, Uingereza.  Mkutano huo unazungumzia masuala mbalimbali ya Afrika, ikiwemo Uongozi, Uwekezaji na Ushindani wa Kimaendeleo kwa kauli mbiu ya: “Powering…

Read More

Miasha jela kwa kumlawiti mtoto wa miaka 10

Geita. Mahakama ya Wilaya ya Geita, imemuhukumu kifungo cha maisha Deus Joseph baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumlawiti mtoto mwenye umri wa miaka 10. Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu wa Mahakama hiyo, Devotha Kassebele baada ya kusikiliza ushahidi uliotolewa na pande zote mbili akiwemo shahidi XYZ ambaye ni muathirika wa tukio hilo. Deus…

Read More

Aliyeiua Yanga anukia Azam FC

AZAM FC haina utani baada ya kutambulisha kocha mpya, Florent Ibenge na nyota watatu wazawa  Aishi Manula, Lameck Lawi na Muhsin Malima, lakini kwa sasa mabosi wa klabu hiyo wanadaiwa wameanza mazungumzo ya kuipata saini ya winga wa Al Hilal ya Sudan, Yaser Muzmel Muhamed Altayeb ikiwa ni pendekezo la Ibenge aliyewahi kufanya naye pia…

Read More

Dili la Bwalya laingia dosari Pamba Jiji

DILI la aliyekuwa kiungo wa Simba, Mzambia Larry Bwalya la kujiunga na Pamba Jiji msimu huu limeingia dosari baada ya nyota huyo kudaiwa bado ana mkataba wa miaka miwili na Napsa Stars inayommiliki, licha ya kukiri yupo huru. Taarifa ambazo Mwanaspoti limezipata zinadai kiungo huyo hakuwa mkweli kwa uongozi wa Pamba kwa kile alichoueleza amemaliza…

Read More

Makambo bado yupo sana Bongo

KAMA ulikuwa unadhani Heritier Makambo aliyekuwa Tabora United na kudaiwa ametimka ndo kaondoka kimoja? Umekosea, kwani jamaa bado yupo sana Bongo baada ya kudaiwa yupo hatua ya mwisho kujiunga na Namungo. Taarifa ambazo Mwanaspoti limepenyezewa ni kwamba uongozi wa Namungo uko katika mazungumzo ya kupata saini ya mshambuliaji huyo wa zamani wa Yanga baada ya…

Read More