
Bocco ampisha Paul Peter JKT Tanzania
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Dodoma Jiji, Paul Peter amejiunga na JKT Tanzania akipishana na John Bocco anayetajwa kuachwa. Peter akiwa na Dodoma Jiji aliyefunga mabao manane anaenda kuungana na Matheo Antony ambaye hakuwa na msimu mzuri kutokana na kuwa nje ya uwanja kutokana na kusumbuliwa na majeraha. “Ripoti ya mwalimu ilikuwa inatuhitaji tusajili mshambuliaji tuimeanza…