CBE na SWUFE ya China wasaini ushirkiano katika tafiti na masomo
Na Mwandishi Wetu CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimesaini makubaliano na Chuo Kikuu cha Fedha na Uchumi cha Kusini Magharibi mwa China (SWUFE) kuimarisha ubadilishanaji wa ujuzi, utafiti wa pamoja, na fursa za mafunzo kwa wanafunzi na wafanyakazi wa pande zote mbili. Mkataba huo ulisainiwa jana jijini Dar es Salaam baina ya Mkuu wa…