TANZANIA YAUNGA MKONO UHURU WA CHAKULA KATIKA MKUTANO WA UNFSS+4 JIJINI ADDIS ABABA
::::: Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), ameongoza ujumbe wa Tanzania katika mkutano wa ngazi ya Mawaziri uliofanyika tarehe 29 Julai 2025, jijini Addis Ababa, Ethiopia, uliokuwa sehemu ya Mkutano wa Pili wa Mfumo wa Chakula wa Umoja wa Mataifa (UNFSS+4). Katika hotuba yake kwenye…