MCHENGERWA APONGEZA KIBAHA KWA UFAULU, ATOA MAELEKEZO MAHUSUSI

Na John Mapepele Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe, Mohamed Mchengerwa ameupongeza uongozi wa Shule ya Sekondari ya Kibaha kwa kuendelea kuwa na matokeo ya ufaulu mzuri huku akiwataka kutoshuka. Mhe. Mchengerwa ametoa kauli hiyo jana wakati alipotembelea shule hiyo na kukagua miundombinu ya madarasa, mabweni,maabara na baadaye kushuhudia wanafunzi waliokuwa wakijiunga na kuzungumza…

Read More

Sifa kuwa mbunge inavyotikisa, wadau wanataka mabadiliko

Bunge ni chombo cha kutunga sheria katika nchi na ndiyo chombo cha uwakilishi wa wananchi na kuisimamia Serikali katika mambo mbalimbali yanayofanyika na mwisho wa siku, ni kuhakikisha kwamba kila uamuzi unaofanyika unazingatia maslahi mapana ya umma. Chombo hicho kinahitaji watu wenye kuelewa wajibu wao na kuwa tayari kusimamia maslahi ya umma bila hofu wala…

Read More

ACT-Wazalendo: Tutafuta ushuru wa mazao

Songea. Ili kuleta unafuu kwa wakulima wa  kuuza mazao yao kwa ufanisi na kujikimu kimaisha, Chama cha ACT- Wazalendo, kimesema kitafuta ushuru wa mazao endapo kitashika madaraka katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba. Hata hivyo, endapo hakitafanikiwa kushika dola kitawatumia madiwani na wabunge watakaopatikana ili kusukuma ajenda itakayowanufaisha wakulima wa mikoa mbalimbali ikiwamo  Ruvuma, Lindi na…

Read More

MWENGE WA UHURU WAWAVUTIA WATALII NGORONGORO

Na Mwandishi wetu Ngorongoro. Baadhi  ya watalii waliokuwa katika safari zao za kawaida kwenye eneo la hifadhi ya Ngorongoro leo jumatano  tarehe 9 Julai 2025 walijikuta katika furaha baada ya kushuhudia   Mwenge wa Uhuru ukiingia wilayani Karatu kutokea wilaya ya Ngorongoro Mkoani Arusha. Watalii hao walionekana wakisimamisha magari yao ili kushuhudia namna Mwenge wa Uhuru …

Read More

Jipatie Mara Dufu Mechi ya Fluminense vs Chelsea

MICHUANO ya kombe la Dunia Ngazi ya Vilabu inazidi kupamba moto ambapo sasa ni hatua ya nusu fainali. Bashiri kwa GG&3+ mechi ya Fluminense dhidi ya Chelsea upate zaidi. Jisajili hapa sasa. Meridianbet wamekuja na promosheni hii ya kubashiri na GG&3+ ili kuhakikisha kuwa unajaza akaunti yako kwa mkwanja wa maana na mechi hizi za…

Read More

Maonesho ya Sabasaba Yatumika Kutoa Elimu ya Sheria kwa Wananchi, Naibu Waziri Sagini Atemblea Banda la Katiba na Sheria

WIZARA ya Katiba na Sheria ambayo ni mshindi wa kwanza wa jumla kati ya wizara zote zilizoshiriki katika Maonesho ya 49 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam, maarufu kama Sabasaba, yanayoendelea kufanyika katika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere, Barabara ya Kilwa. Kupitia maonesho hayo, wizara hiyo imefanikiwa kuhamasisha wananchi kuhusu umuhimu wa elimu…

Read More