
Tanzania Prisons inaanza na wachezaji hawa
BAADA ya uongozi wa Tanzania Prisons kufanya kikao cha tathimini ya timu hiyo ilichofanya msimu uliomalizika na kipi wakifanye ujao, wameanza mazungumzo ya kuwaongezea mikataba wachezaji wa kikosi chao. Katibu wa timu hiyo, John Matei amesema kwamba katika kikosi hicho kuna wachezaji ambao mikataba yao imeisha na wanahitaji kuendelea nao, hivyo kabla ya kuanza kusaka…