
RC CHALAMILA AKUTANA NA VIONGOZI WA DINI-DSM
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila amewataka viongozi wa Dini kuendelea kuliombea Taifa amani na kuhubiri masuala ya amani na utulivu wa Nchi ili kuepuka madhara yatokanayo na uvunjifu wa amani hasa katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu Akizungumza leo jijini Dar es salaam latika kikao maalum na viongozi wa…