Waziri Kombo ashiriki Kongamano la Diplomasia ya Afya

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameshiriki Kongamano kuhusu Kukuza Huduma za Afya Ulimwenguni kupitia Diplomasia lililoandaliwa na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi, Muhimbili (MUHAS) jijini Dar es Salaaam Julai 8, 2025. Waziri Kombo ameeleza kuwa Sera ya Mambo ya Nje ya Mwaka 2001…

Read More

Bomba jipya kusafirisha gesi asilia kujengwa

Dar es Salaam. Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) linapanga kuwekeza Sh120 bilioni katika ujenzi wa bomba la gesi asilia lenye urefu wa kilomita 32 litakalounganisha kisima cha gesi cha Ntorya na Kiwanda cha Kusafisha Gesi cha Madimba kilichopo Mtwara. Mradi huo, unaofadhiliwa na Serikali, unalenga kuongeza upatikanaji wa nishati ya gesi nchini na…

Read More

Huduma za fedha kidijitali zitakavyoboresha kilimo nchini

Dodoma. Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania (TCDC) imeeleza namna huduma za mawasiliano na fedha kidijitali zitakavyoboresha kilimo ambacho kinachangia asilimia 30 ya pato la Taifa. Imeelezwa kuwa wakulima walio wengi bado hawajafikiwa na huduma rasmi za kifedha katika shughuli zao ikiwemo ununuzi wa pembejeo. Hivyo, tume hiyo imesaini makubaliano ya kuingia katika ushirikiano wa…

Read More

𝗲-𝗠𝗿𝗲𝗷𝗲𝘀𝗵𝗼 𝗩𝟮 𝗞𝗜𝗡𝗔𝗥𝗔 𝗪𝗔 𝗧𝗨𝗭𝗢 𝗬𝗔 𝗪𝗦𝗜𝗦 𝟮𝟬𝟮𝟱

…………….. Tanzania kupitia Mfumo wa e-Mrejesho toleo la pili (e-MrejeshoV2) imeibuka mshindi katika kipengele cha Serikali Mtandao, kwenyeTuzo za Mkutano wa Dunia wa Jumuiya ya TEHAMA mwaka 2025 (World Summit on the Information Society -WSIS 2025). Utoaji wa tuzo za WSIS umefanyika Julai 7 katika mkutano wa Tukio la Ngazi ya Juu la Jukwaa la…

Read More

CUF kupata mgombea urais Agosti

Dar es Salaam. Wakati makada wa Chama cha Wananchi (CUF) wakiendelea kujitokeza kuchukua fomu kuomba ridhaa za chama chao kugombea nafasi za udiwani, ubunge na urais chama hicho kimesema kinatarajia kufanya mkutano mkuu mwanzoni mwa Agosti 2025. Katika mkutano mkuu huo maalumu yatapitishwa majina ya wagombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais…

Read More

MIRADI ILIYOTEKELEZWA KWA KODI IWEKEWE MABANGO

…..,……,…..  Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa ameagiza miradi yote mikubwa iliyojengwa na inayoendelea kujengwa kwa fedha za ndani zinazotokana na Kodi iandikwe ili kuwaonyesha Watanzania namna Kodi wanazolipa zinavyofanya kazi. Waziri Mkuu ametoa maagizo hayo leo Julai 8, 2025 Jijini Arusha wakati akifungua kikao cha tathmini ya utendaji kazi…

Read More