NELSON MANDELA KAMBI YA KITAIFA KWA WANAFUNZI WA PROGRAMU YA SAMIA EXTENDED SCHOLARSHIP DSA+

  Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof Adolf Mkenda akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Kituo cha Tehama Rasimali (ICT-RC) katika Taasisi ya NM-AIST Dr. Devotha Nyambo wakati wa ufunguzi wa programu ya Samia Extended Scholarship DS/AI+ Julai 8,2025 jijini Arusha. …… Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, amezindua rasmi programu…

Read More

Beno Ngassa ajibana Dodoma Jiji

WINGA machachari, Beno Ngassa amejiunga na timu ya Dodoma Jiji kwa mkataba wa miaka miwili kuitumikia katika msimu ujao. Ngassa alikuwa na wakati mzuri kwenye kikosi cha Tanzania Prisons kilichokuwa kinanolewa na kocha Aman Josiah ambapo tangu kocha huyo atue hapo Januari, mwaka huu, amefunga mabao matano na asisti tatu. Mwanaspoti linafahamu nyota huyo alikuwa…

Read More

Sita wakalia kuti kavu KMC FC

MASTAA sita wakalia kuti kavu KMC,wasubiri kikao cha mabosi kufanya maamuzi ya hatima ya kusalia kwao ndani ya klabu hiyo, baada ya mikataba yao kumalizika. Akizungumza na Mwanaspoti Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo Mkoti Mwakasungura alisema, nyota hao wamemaliza mikataba na watakuwa na majadiliano yatakayotanguliwa na maamuzi ya uongozi na benchi la ufundi. Alisema maamuzi…

Read More

Vifaranga milioni 2.5 vya matango bahari, samaki vyazalishwa kuchochea uchumi wa buluu

Unguja. Katika kuhakikisha rasilimali za uchumi wa buluu zinakuwa na kunufaisha wananchi, vifaranga milioni 2.5 vya samaki na matango bahari vimezalishwa visiwani Zanzibar. Kati ya vifaranga hivyo, milioni moja vimezalishwa Pemba na milioni 1.5 vimezalishwa Unguja na tayari 26,000 vimeshatolewa kwa wafugaji 310. Vifaranga hivyo vimezalishwa na Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar…

Read More

Barrick yaingiza Sh12 trilioni katika uchumi wa Tanzania

Bulyanhulu. Kampuni ya Barrick imewekeza Dola 4.79 bilioni za Marekani(Sh12 trilioni) katika uchumi wa Tanzania katika kipindi cha miaka mitano iliyopita. Barrick imeeleza hayo Jumatatu ya Julai 7, 2025 huku ikisisitiza dhamira yake ya kutoa thamani shirikishi na maendeleo ya muda mrefu nchini. Kwa mujibu wa Barrick kati ya kiwango hicho Dola 558 milioni  (Sh1.4…

Read More

Wafanyakazi maeneo haya wapo hatarini kuugua ‘Silicosis’

Shinyanga. Watu wanaofanya kazi katika maeneo yanayozalisha vumbi ikiwemo migodini, mashineni na maeneo mengine kama hayo wametajwa kuwa hatarini kuugua ugonjwa wa Silicosis. Ugonjwa huo husababishwa na chembechembe za silica zinazopatikana kwenye miamba, udongo na vumbi. Daktari wa magonjwa ya ndani kutoka Hospitali ya Mkoa wa Shinyanga, Yohana Bunzari amesema kuwa kitaifa hakuna takwimu halisi…

Read More