
Gamondi aanza na kipa wa Simba
Singida Black Stars iliyopo chini ya Kocha Miguel Gamond, imedaiwa iko katika mazungumzo ya kuipata saini ya kipa wa Simba, Hussein Abel baada ya nyota huyo kumaliza mkataba alionao na kikosi hicho, huku kukiwa pia hakuna mazungumzo mapya ya kubakizwa msimu ujao. Kipa huyo wa zamani wa Coastal Union, Taifa Jang’ombe ya Zanzibar, Tanzania Prisons…