
WANANCHI WANAOTEMBELEA MAONESHO SABASABA WASHUHUDIA VIVUTIO VYA UTALII NGORONGORO MBASHARA ( LIVE STREAMING)
Na Hamis Dambaya, DSM. Matangazo ya moja kwa moja kutokea hifadhi ya Ngorongoro yanayorushwa katika Banda la Wizara ya Maliasili na Utalii ndani ya viwanja vya Sabasaba jijini Dar es salaam yamekuwa kivutio kikubwa kwa watembeleaji wa maonesho hayo. Viongozi mbalimbali wa Wizara ya Maliasili na Utalii akiwemo Naibu waziri wa Maliasili na Utalii Mh.Dunstan…