OMH Yalenga Kukusanya Sh Trilioni 2 Mapato Yasiyo ya Kikodi Mwaka 2025/26
Ofisi ya Msajili wa Hazina (OMH) imeweka lengo la kukusanya jumla ya Shilingi trilioni 2 kama mapato yasiyo ya kikodi kwa mwaka wa fedha 2025/26, ikiwa ni hatua ya kuongeza mchango wa taasisi za umma katika mapato ya serikali. Hayo yalisemwa Jumatatu, Julai 28, 2025, na Msajili wa Hazina Bw. Nehemiah Mchechu wakati wa ufunguzi…