
Tunahitaji maktaba za jamii kila wilaya
Arusha. Ikiwa jirani yako ana jambo fulani ambalo wewe huna, na ikiwa kwamba jambo hilo ni zuri, si dhambi, tena ni busara, ukajifunza kutokana na hilo. Ukijifunza, bila shaka utaweka mikakati ya kulifanya jambo hilo nyumbani kwako. Nasema hivi kwa sababu katika makala haya napenda kujadili hoja kwamba kama taifa tuweke nguvu za makusudi ili…