UBIA WA BARRICK NA TWIGA WAZIDI KUSTAWISHA UCHUMI NA THAMANI YA PAMOJA NCHINI TANZANIA

Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa akizungumza kwenye mkutano na waandishi wa habari Julai 7,2025 katika Mgodi wa Barrick Bulyanhulu – Picha : Kadama MalundeRais na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Barrick, Mark Bristow akizungumza kwenye mkutano na waandishi wa habari Julai 7,2025 katika Mgodi wa Barrick Bulyanhulu. *Serikali imepongeza uwekezaji mkubwa uliofanywa na Kampuni…

Read More

GF TRUCKS & EQUIPMENT YAIBUKA MSHINDI WA JUMLA MAONESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA SABASABA 2025

Kampuni ya Gf Trucks & Equipment Ltd imeibuka mshindi wa jumla wa maonyesho ya biashara ya kimataifa  2025 yanayoendelea jijini Dar es salaam. Kupitia kiwanda chake cha kuunganisha Magari makubwa cha GF Vehicle Assemblers(GFA) kilichopo Kibaha mkoani Pwani Katika maonesho hayo yalionza rasmi tarehe 28 mwezi wa sita yameshirikisha makampuni mbambali kutoka nje na ndani…

Read More

Mkuu wa UN analaani mgomo wa Urusi juu ya Ukraine, anaonya juu ya hatari ya usalama wa nyuklia – maswala ya ulimwengu

Katika a taarifa Iliyotolewa na msemaji wake, António Guterres alionyesha mshtuko juu ya kuongezeka kwa hatari na kuongezeka kwa raia. Alisisitiza kwamba mashambulio dhidi ya raia na miundombinu muhimu ni marufuku chini ya sheria za kimataifa na alitaka kusitishwa kwa haraka na bila masharti. “Mgomo huu ulisumbua usambazaji wa umeme kwa kiwanda cha nguvu cha…

Read More

RAIS MWINYI ATEMBELEA BANDA LA NISHATI MAONESHO YA SABASABA

….,……… 📌Apatiwa elimu juu ya utekelezaji wa mkakati wa Taifa wa  Nishati safi ya kupikia 📌 Wizara ya Nishati kuendelea kuweka mazingira mazuri kwa tasisi zake kutekeleza majukumu yake kikamilifu Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwinyi leo 7 Julai, 2025 ametembelea banda la Wizara ya Nishati  kwenye maonesho…

Read More