
LUHEMEJA AWATAKA WATANZANIA KUTOA UZITO NA MSISITIZO UHIFADHI NA USIMAMIZI WA MAZINGIRA
………….. WATANZANIA wamehimizwa kulipa uzito na msisitizo suala la uhifadhi na usimamizi wa mazingira nchini kwani ni agenda muhimu ya kimaendeleo kwa binadamu. Hayo yamesemwa leo Jumapili (Julai 6, 2025) Jijini Dar es Salaam na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Cyprian Luhemeja wakati akizindua Siku ya Mazingira iliyoadhimishwa katika Maonesho ya 49…