
Baraza latambua ‘massage’ kama tiba asili
Morogoro. Kwa mujibu wa Sheria namba 23 ya mwaka 2002 ya Tiba za Asili na Tiba Mbadala, huduma za ukandaji na uchuaji misuli zinatambuliwa kama sehemu ya tiba za asili, na maeneo yanayotoa huduma hizo yanahesabiwa kuwa vituo vya tiba asili. Vilevile, wataalamu wa huduma hizo wanatambulika kama sehemu ya waganga wa tiba asili. Hayo…