
Milio ya bunduki, mabomu yasikika Nairobi – Global Publishers
Wakazi wa jiji la Nairobi nchini Kenya leo Julai 7 ,2025 Kwenye Maandamano ya siku ya Saba Saba Wakazi wa jiji la Nairobi nchini Kenya leo Julai 7 , 2025 wamekuwa wakisikiliza milio ya bunduki na mabomu ya kutoa machozi ikilipuliwa tangu asubuhi kutoka barabara kuu ambako makundi ya vijana wamekuwa waking’ang’ana…