
Ufaulu kidato cha sita wapanda
Unguja. Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya kidato cha sita huku ufaulu wa jumla ukiwa asilimia 99.95 kwa watahiniwa 126,135 waliofanya mtihani, sawa na ongezeko la asilimia 0.03 ikilinganishwa na ufaulu wa mwaka 2024 ambao ulikuwa asilimia 99.92. Akitangaza matokeo hayo leo Julai 7, 2025 katika ofisi za Necta Zanzibar, Katibu Mtendaji…