
Unawajua wake ngumi mkononi au ndoo ya taka?
Mara nyingi kwenye ndoa kumekuwa na malalamiko ya mara kwa mara kutoka kwa wanaume, na malalamiko haya yanaelekezwa kwenye namna wake zao wanavyoishi au wanavyofanya. Huyu analalamika mke wangu yuko hivi, na yule naye anasema mke wangu yuko vile. Mmoja anasema mke wangu anafanya hivi na mwingine analia mke wangu hafanyi vile. Huu mkanganyiko umekuwa…