
Beki Coastal Union amtaja Pacome
BEKI wa kati wa Coastal Union na timu ya Taifa ya Zanzibar, Abdallah Denis ‘Vivaa’, ametamka wazi kuwa kiungo mshambuliaji wa Yanga, Pacome Zouzoua, ndiye mchezaji hatari zaidi kwa sasa Ligi Kuu Bara. Viva ambaye aliwahi kuichezea Malindi ya Ligi Kuu Zanzibar, alisema hana shaka kuwa Zouzoua ni tofauti na viungo wengi waliopo ligi kuu…