
Mangalo, Mtibwa bado kidogo tu
BAADA ya kukaa nje ya uwanja msimu mzima akiuguza jeraha la goti, beki wa zamani wa Biashara United na Singida Foutain Gate, Abdulmajid Mangalo yupo kwenye hatua za mwisho kumalizana na Mtibwa Sugar. Mangalo ambaye alikuwa anajiuguza goti alirejea kwenye uwanja wa mazoezi tangu dirisha dogo la msimu ulioisha lakini hakupata ofa ambayo ingemfanya arudi…