Mpina awekwa pembeni uteuzi ubunge CCM
Dar es Salaam. Mbunge wa Kisesa mkoani Simiyu, Luhaga Mpina ni miongoni mwa watiania wa ubunge CCM ambao majina yao si miongoni mwa yaliyopitishwa na Kamati Kuu ya chama hicho kwenda kupigiwa kura za maoni. Taarifa ya kuondolewa kwa Mpina imefahamika leo Jumanne Julai 29, 2025 baada ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi,…