
Wazir JR kutimkia Saudi Arabia
INAELEZWA Al Faisaly inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza Saudia Arabia imemalizana na kocha Mhispania, Pablo Grandez lakini ametoa pendekezo la kuletewa straika Mtanzania, Wazir JR anayekipiga Al Minaa inayoshiriki Ligi Kuu nchini Iraq. Grandez hivi karibuni alikuwa anaifundisha Al Minaa anayoichezea Wazir Jr ambaye mkataba wake wa mkopo unaisha mwishoni mwa msimu. Chanzo cha karibu…