
MASHABIKI WA SIMBA NA YANGA KUTOKA CHUO CHA MAENDELEO YA JAMII (TICD) TENGERU WAPIMANA UBAVU.
Na.Ashura Mohamed -Arusha. Mashabiki wa Timu za Simba na Yanga ambao ni watumishi wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii Tengeru(TICD), wamecheza mechi ya kirafiki katika juhudi za kuendelea kudumisha mahusiano na ushirikiano katika maeneo ya kazi. Akizungumza katika bonanza hilo Mgeni rasmi Kaimu Naibu Mkuu wa chuo cha Maendeleo ya Jamii Tengeru (TICD),anayeshughulikia Mipango na…