
Ecua amtikisa Sowah Yanga | Mwanaspoti
PALE Jangwani mambo ni moto! Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara wako mawindoni wakikamilisha kamilisha ishu zao za usajili kwa ajili ya msimu ujao wa mashindano, ambapo wameapa kwamba wanataka kuanzia walipoishia hapa nchini kwa kukomba kila kitu, lakini kule nje wakaupige mwingi Ligi ya Mabingwa Afrika. Kama unakumbuka kauli ya rais wa klabu hiyo,…