
Watanzania wakumbushwa kusaidiana | Mwananchi
Dodoma. Watanzania wenye sifa ya kupiga kura wameitwa kujitokeza siku ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu, ikielezwa kufanya hivyo ni njia ya kupata viongozi wenye kibali cha Mungu. Wito huo umetolewa leo Jumamosi Julai 5, 2025 na Nabii Mkuu, Dk Moses GeorDavie muda mfupi baada ya kutunukiwa shahada ya udaktari wa heshima kwa masuala…