Beki JKT mbioni kuibukia Msimbazi

SIKU moja tangu kuvuja kwa taarifa ya ripoti ya kocha wa Simba, Fadlu Davids kutaka asajiliwe majembe sita mapya ili kuunda kikosi bora cha msimu ujao akiwamo beki wa kati, Mwanaspoti limenasa jina la beki ambaye ameingia katika rada za Wekundu wa Msimbazi kutoka JKT Tanzania. Beki huyo wa kati ni Wilson Nangu anayedaiwa menejimenti…

Read More

Straika Mbeya City anukia Mashujaa

VIONGOZI wa Mashujaa FC wako katika mazungumzo ya kupata saini ya aliyekuwa mshambuliaji wa Mbeya City, Mudathir Said baada ya nyota huyo aliyeirejesha timu hiyo Ligi Kuu kumaliza mkataba wa kuendelea kukitumikia kikosi hicho. Nyota huyo aliyewahi kuchezea timu mbalimbali zikiwemo Coastal Union ya Tanga, Pamba Jiji ya Mwanza kisha kutua Mbeya City, amemaliza mkataba…

Read More

Manyasi azigonganisha Singida BS, Mtibwa Sugar

BAADA ya msimu wa Ligi Kuu Bara kukamilika Juni 25, mwaka huu, timu zimeanza mipango ya kuimarisha vikosi kwa ajili ya msimu ujao ikiwemo kusajili wachezaji wapya na kuboresha maeneo yenye upungufu. Miongoni mwa hizo ni Mtibwa Sugar iliyopanda daraja na Singida Black Stars inayohitaji nguvu mpya kuelekea michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika –…

Read More

Ambundo suala la muda Mbeya City

INAELEZWA kwamba hesabu za Mbeya City sasa ziko kwa Dickson Ambundo, nyota mwenye uwezo wa kucheza kiungo mshambuliaji ambapo msimu wa 2024-2025 aliitumikia Fountain Gate. Nyota huyo pia amewahi kuzitumikia Dodoma Jiji, Alliance na Yanga na Singida Big Stars, alikuwa Fountain Gate kwa misimu miwili kabla ya miezi kadhaa iliyopita kuripotiwa kuondoka kambini. Taarifa za…

Read More

Simba kuanza na hawa usajili wa 2025/26

MABOSI wa Simba katikati ya wiki walikutana kujadili mambo mbalimbali ikiwamo kupitia ripoti ya kocha Fadlu Davids ili kusuka kikosi cha msimu ujao huku wakiafikiana na pendekezo la kuanza na mashine sita. Simba ilikuwa na kikao cha Bodi ya Wakurugenzi kilichoongozwa na Mwenyekiti Mohammed ‘MO’ Dewji sambamba na viongozi wa zamani ambacho pia kilifanya tathmini…

Read More

Ibenge apiga mkwara, akizitaja Simba, Yanga

MUDA mchache baada ya kutambulishwa kuwa kocha mkuu wa Azam FC, Florent Ibenge ameahidi kufanya makubwa ndani ya kikosi hicho akifurahia kupata nafasi ya uwakilishi kimataifa huku akiitaja Simba na Yanga. Ibenge aliyemaliza mkataba na klabu ya Al Hilal Sudan aliyoipa  ubingwa wa Ligi Kuu ya Mauritania msimu huu, amesema amefurahi kupata nafasi ya kuinoa…

Read More

Ridhiwani: Msajili wa Hazina ameokoa mashirika ya umma

Dar es Salaam. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu), Ridhiwani Kikwete amesema Ofisi ya Msajili wa Hazina imewezesha kuimarika kifedha kwa mashirika ya umma yaliyokuwa na mitaji hasi na yaliyokuwa yanapata hasara mfululizo. Kikwete amesema hayo leo, Julai 5, 2025 alipotembelea na kukagua Maonyesho ya 49 ya…

Read More

Changamoto zinazoikabili kahawa | Mwananchi

Dodoma. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Boniphace Simbachawene ametaja changamoto zinazoikabili sekta ya kilimo cha kahawa nchini, ikiwamo upotevu wa fedha za wakulima unaosababishwa na viongozi wa baadhi ya vyama vya ushirika kutokuwa waaminifu na kuingia mikataba ya ununuzi wa kahawa bila kufuata utaratibu. Akizungumza leo Julai 5, 2025, katika mkutano wa 15…

Read More