
Polisi Dar yatoa onyo vurugu baada ya ibada KKAM
Dar es Salaam. Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limetoa onyo kali kwa kikundi cha watu ambao wamekuwa wakitoka Kanisa la Kiinjili la Kilutheri la Afrika Mashariki (KKAM) kwa nia ya kuingia barabarani kufanya vurugu. Onyo hilo limetolewa leo Jumamosi Julai 5, 2025 na Kamanda wa kanda hiyo, Jumanne Muliro alipozungumza na…