
July 2025


FCC YAENDELEA KUTIMIZA MAAGIZO YA RAIS SAMIA
::::: Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ushindani Nchini (FCC)Bi.Hadija Juma Ngasongwa amesema wawekezaji wa ndani ya nchi wanasimamiwa na sheria madhubuti zinazosimamia uwekezaji ili kusaidia kulinda na kuimarisha biashara zao. Taarifa hiyo ameitoa leo Julia 4,2025 Jijini Dar es salaamu alipofanya ziara ya kutembelea banda la Wizara ya Viwanda na Biashara katika maonyesho ya…

WAZIRI KIKWETE AIPA TANO OFISI YA MSAJILI WA HAZINA SABASABA
:::::::::::: Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu), Mhe. Ridhiwani Kikwete, ameipongeza Ofisi ya Msajili wa Hazina kwa mageuzi makubwa iliyofanya katika mashirika ya umma. Mhe. Kikwete alitoa pongezi hizo Ijumaa, Julai 4, 2025, alipotembelea banda namba 39 (Ukumbi wa Kilimanjaro) katika maonesho ya 49 ya biashara maarufu…

GCLA INAENDELEA KUTOA ELIMU KWA WANANCHI KATIKA MAONESHO SABASABA
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlakla ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA), Dkt. Adam Fimbo (kulia) akisaini kitabu cha wageni alipotembelea banda la Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali kwenye Maonesho ya 49 ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba) yanayofanyika katika viwanya vya sabasaba jijini Dar es Salaam. Watumishi wa Mamlaka ya Maabara ya…

PSPTB YATANGAZA USAJILI WA MITIHANI YA 31 YA KITAALUMA
Bodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) imetangaza kuanza kwa usajili wa mitihani ya 31 ya kitaaluma (Mid Session Examinations) itakayofanyika kuanzia tarehe 25 Agosti hadi 29 Agosti 2025, katika kituo kimoja kilichopo jijini Dodoma. Akizungumza na vyombo vya habari jijini Dar es Salaam tarehe 03 Julai 2025, Mkurugenzi Mtendaji wa PSPTB, Bw. Godfred…

WAZIRI KIKWETE ATEMBELEA BANDA LA BODI YA ITHIBATI YA WAANDISHI WA HABARI SABASABA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete alipotembelea Banda la Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari-JAB lililopo katika Kijiji cha Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Julai 04 2025 jijini Dar es Salaam. Akiwa katika Banda hilo Mhe. Kikwete amekutana na Kaimu Mkurugenzi…

NMB Foundation Yainua Wakulima wa Korosho Newala na Ruangwa
Na Mwandishi Wetu Wakulima kutoka wilaya za Newala na Ruangwa mkoani Mtwara wamehitimu mafunzo ya kuongeza thamani ya zao la korosho, yaliyoandaliwa na NMB Foundation kwa ushirikiano na Rabo Foundation pamoja na kampuni ya Prosperity Agro Industries Ltd. Mafunzo hayo yalihitimishwa kwa hafla iliyohudhuriwa na viongozi wa serikali na taasisi mbalimbali, akiwemo Mkuu wa Wilaya…

Baraza la Haki za Binadamu la UN linasikia sasisho mbaya juu ya Ukraine, Gaza na ubaguzi wa ulimwengu – maswala ya ulimwengu
Kuongeza migogoro nchini Ukraine Katika sasisho la mdomo, Ilze Brands Kehris, Katibu Mkuu Msaidizi wa Haki za Binadamuiliripoti kuongezeka kwa nguvu katika uhasama huko Ukraine. Majeruhi wa raia wamezidi, na Aprili hadi Juni wakiona karibu asilimia 50 ya vifo na majeraha zaidi ikilinganishwa na kipindi kama hicho mnamo 2024. “Zaidi ya asilimia 90 ya majeruhi…

Basi latumbukia mtoni, abiria 30 wanusurika
Ruvuma. Abiria 30 wamenusurika baada ya basi walilokuwa wakisafiria kutumbukia kwenye korongo jirani na daraja la Ruvuma wilayani Songea mkoani hapa. Basi hilo lililokuwa linaelekea mpakani mwa Tanzania na Msumbiji, limepata ajali hiyo leo Ijumaa Julai 4, 2025, huku ikielezwa kuwa watu 14 wana hali mbaya kutokana na majeraha na wamelazwa Hospitali ya Rufaa Songea…

DKT. JINGU AITAKA JAMII KUWATUNZA WAZEE IKIWEMO KUPINGA VITENDO VYA UKATILI DHIDI YAO
-AWASHAURI VIJANA KUJIANDAA NA UZEE Na WMJJWM – Mwanza Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. John Jingu ameitaka jamii kushiriki kikamilifu katika kuwatunza wazee wao, kuwaheshima, kuwaangalia na kulinda dhidi ya vitendo vya kikatili. Dkt. Jingu ameyasema hayo Julai 03, 2025 alipotembelea Makazi ya Wazee cha Bukumbi…