
Hongera Mfaume huo ndiyo uanamichezo sasa
JUMAMOSI ya wiki iliyopita mapambano ya ngumi yaliyopigwa pale katika Viwanja vya Leaders Kinondoni yaliacha mijadala mikubwa baada ya kumalizika kwake. Mapambano mawili ndio yalijadiliwa sana ambayo moja ni la Mfaume Mfaume dhidi ya Kudakwache Banda kutoka Malawi na lingine lilikuwa la Ibrahim Classic dhidi ya Ramadhan Nassibu. Mfaume aliibuka mshindi kwa pointi dhidi ya…