Benki ya CRDB yapongezwa kuwapa elimu ya ujasiriamali wajasiriamali wa mtandaoni
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaa, Mheshimiwa Albert Chalamila ameipongeza Benki ya CRDB kwa jitihada zake za kuwaelimisha wajasiriamali wa mtandaoni kuhusu fursa zilizopo na namna wanavyoweza kushirikiana na taasisi hii kubwa zaidi ya fedha nchini kujikwamua kiuchumi. Pongeza hizo zilitolewa mwishoni mwa wiki kwenye Semina ya Instaprenyua iliyowakutanisha wajasiriamali na waelimishaji wa mada…