
EU yaishika mkono Tanzania matumizi ya nishati safi
Dar es Salaam. Katika kuunga mkono mkakati wa kitaifa wa matumizi ya nishati safi ya kupikia, Umoja wa Ulaya (EU) umetoa magari mawili kwa ajili ya kutoa elimu ya umuhimu wa matumizi ya nishaji hiyo maeneo ya vijijini. Magari hayo aina ya Toyota Land Cruiser yaliyofungwa mfumo wa sauti kwa ajili ya matangazo kwa umma,…