TANZANIA YAENDELEA KUTANGAZA NA KUKUZA KISWAHILI NA UTAMADUNI WAKE KIMATAIFA

……………. Lugha ya kiswahili na utamaduni wa mtanzania vimeendelea kuwa kivutio kikubwa kwa wageni mbalimbali wa kimataifa waliotembelea banda la Tanzania katika Wiki ya utamaduni na Kiswahili inayoendelea kwenye maonesho ya biashara ya dunia (Expo 2025) yanayofanyika Osaka. Viongozi waandamizi wa mataifa mbalimbali, wametembelea banda hilo ikiwemo Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi la Japani,…

Read More

RC DENDEGO AELEZA MAFANIKIO YA MKOA WA SINGIDA

..,………. Na Ester Maile Dodoma  Bilioni 30 zimekusanywa kutoka kwenye shughuli mbalimbali na kuongeza pato katika mkoa wa Singida kwa kipindi cha miaka minne. Hayo yamebainishwa na mkuu wa mkoa wa Singida Halima Dendego leo 04 julai 2025 katiak ukumbi wa idara habari maelezo jijini Dodoma wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari kuhusu…

Read More

Fountain Gate yaizima Stand United kwao

Fountain Gate imejiweka kwenye nafasi nzuri ya kubaki Ligi Kuu Bara baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Stand United kwenye mchezo uliojaza mashabiki wengi. Fountain imefika hapa baada ya kumaliza ligi ikiwa nafasi ya 14 ambapo ilicheza mchezo wa kwanza wa mtoano na Prisons na kupoteza kwenye matokeo ya jumla. Ushindi…

Read More

BILIMEASURE KUKOMBOA MAELFU YA WATOTO WACHANGA DHIDI YA MANJANO

 Watoto wachanga nchini Tanzania wanatarajiwa kunufaika na maisha salama na yasiyo na maumivu kutokana na ubunifu mpya wa kiteknolojia wa mwanafunzi wa uhandisi tiba kutoka Chuo Kikuu cha Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS), Abubakar Mathias, ambaye amebuni kifaa cha kisasa cha kupima kiwango cha manjano (bilirubin) bila kutumia damu. Ubunifu huo, unaofahamika kama BiliMeasure, unaondoa hitaji…

Read More

Chukua GG & 3+ kwa Odds Tamu Sana Leo

LEO hii mechi ya kwanza ya Robo Fainali ya Kombe la Dunia la Vilabu itapigwa ambapo ni kati ya Fluminense vs Al Hilal huku nafasi ya kushinda akipewa mgeni kwa Odds 2.50 kwa 3.00. Meridianbet inakwambia hivi unaweza ukatengeneza pesa mechi hii kwa kubashiri na GG&3+. Unasubiri nini sasa kusuka jamvi lako la ushindi kwa…

Read More

Mikakati ya Bodi ya Korosho 2025/2026

Lindi. Bodi ya Korosho Tanzania (CBT), imejipanga kuhakikisha inafikia lengo lililowekwa na Serikali la kuzalisha tani 700,000 za korosho kwa mwaka 2025/2026. Akizungumza leo Ijumaa Julai 4, 2025, kwenye kikao cha maendeleo ya tasnia ya korosho kwa Mkoa wa Lindi kuelekea msimu wa mauzo wa 2025/2026, Mkurugenzi wa CBT, Francis Alfred, amesema bodi hiyo imejipanga…

Read More