Cheza Aviator Uondoke na Samsung A25 Mpya Kabisa

MERIDIANBET, mabingwa wa ubashiri Tanzania, wamezindua promosheni mpya inayowapa wachezaji wake fursa ya kushinda simu mpya za Samsung A25 kwa kucheza tu mchezo maarufu wa Aviator. Hii si promosheni ya kawaida, ni nafasi ya kipekee ambapo kila unavyocheza Aviator si tu unaongeza pesa zako, bali pia unajipeleka karibu na ushindi wa simu ya kisasa bure…

Read More

Panga TFF DK msolla atoa ya moyoni

WAKATI Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), ikimpitisha Wallace Karia kuwa mgombea pekee wa urais wa shirikisho hilo, mmoja wa wagombea waliofyekwa, Dk Mshindo Msolla ametoa ya moyoni kutokana na kukata jina katika uchaguzi huo. Uchaguzi mkuu wa TFF unatarajiwa kuanza Agosti 16, mwaka huu. …

Read More

Tanzania kinara wa amani zaidi Afrika Mashariki

Dar es Salaam. Tanzania imetajwa kuwa nchi yenye amani zaidi Afrika Mashariki kwa mwaka 2025, kulingana na ripoti ya hivi karibuni ya Global Peace Index (GPI)iliyotolewa na Taasisi ya Uchumi na Amani (Institute for Economics and Peace – IEP). Katika viwango hivyo vya mwaka huu, Tanzania imeshika nafasi ya 73 kati ya nchi 163 zilizopimwa…

Read More

Ugonjwa ‘fungashada’ wawatesa wakulima migomba, waomba hatua za dharura zifanyike

Morogoro. Wakulima wa zao la migomba wameiomba Serikali na wadau wengine kuchukua hatua madhubuti kudhibiti ugonjwa unaoshambulia migomba, unaosababishwa na kirusi kinachojulikana kitaalamu kama Banana Bunchy Top Virus (BBTV). Wamesema kirusi hicho ni hatari kwa uzalishaji wa ndizi na kimechangia kushuka kwa kipato cha wakulima. Ofisa Kilimo Mkuu wa Mamlaka ya Afya ya Mimea na…

Read More