
RC BABU AZINDUA MSIMU WA TWENZETU KILELENI
MKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro Nurdin Babu amewataka wawekezaji na wafanyabiashara wa ndani kuwekeza zaidi katika sekta ya utalii kwa kujenga hoteli ili kukabiliana na ongezeko la watalii wanaopanda mlima Kilimanjaro Akizungumza wakati wa uzinduzi wa msimu wa tano wa kampeni ya Twenzetu Kileleni Julai 2, Babu alisema kuwa wakati jitihada za Rais Samia Suluhu…