Wallace Karia mgombea pekee Urais TFF

Kamati ya Uchaguzi ya TFF Imewang’oa wagombea watano wa nafasi ya Urais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na kubaki na jina moja la Wallace Karia anayetetea kiti hicho. Akitangaza ripoti ya usahili wa uchaguzi huo Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi wa TFF Wakili Kiomoni Kibamba, amesema Karia ndiye mgombea pekee aliyekidhi vigezo na kwa…

Read More

SERIKALI KUJENGA SHULE MPYA YA SEKONDARI MITI MIREFU..

WANAFUNZI wa kata ya Mitimirefu wilayani Siha mkoani Kilimanjaro waliokuwa wakitembea umbali wa kilomita 15, kufuata shule ya sekondari Namwai wanaenda kuondokana na changamoto hiyo baada ya serikali kutoa fedha milioni 584.2 kwa ajili ya ujenzi wa shule mpya. Mwenge wa Uhuru 2025 ulifika kujionea ujenzi wa shule hiyo na kuweka jiwe la msingi, ambapo…

Read More

MWENGE WA UHURU WAZINDUA KITUO CHA AFYA KIA HAI.

Mwenge wa Uhuru 2025 umezindua Kituo cha Afya Kia wilayani Hai mkoani Kilimanjaro kilichogharimu milioni 209. Akizungumza kiongozi wa mbio hizo za Mwenge, Ismail Ali Ussi alisema kuwa, lengo la Serikali ni kuhakikisha huduma za Afya zinasogezwa karibu na Wananchi.  Alitumia nafasi hiyo kuwaasa madaktari watakaotoa huduma katika kituo hicho kuzingatia mwongozo wa utoaji huduma…

Read More

RTO RUVUMA: MADEREVA HAKIKISHENI MNAHAKIKI LESENI ZENU.

Songea_Ruvuma. Mkuu wa Kitengo cha Usalama Barabarani Mkoa wa Ruvuma, Mrakibu wa Polisi Issa Milanzi, amewataka madereva wote mkoani humo kuhakikisha wanahakiki leseni zao kwa kufika katika ofisi za usalama barabarani ili kubaini uhalali wa leseni wanazotumia. Amesema Lengo la zoezi hilo ni kuhakikisha kila dereva anayeendesha chombo cha moto anakuwa na sifa stahiki kisheria,amesisitiza…

Read More

Zitto atahadharisha Watanzania na watu wanaosaka ubunge

Kigoma/Katavi. Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amewataka Watanzania kuwa makini na watu wanaosaka ubunge akisema imefikia hatua wachekeshaji, wasanii na watangazaji wanautaka ubunge. “Bunge linadogoshwa, kwamba limekuwa eneo la machawa au la uchekeshaji au ni la mtu yeyote anayetaka kwenda,” amesema Zitto. Amesema Bunge ni chombo cha kutunga  sheria na linaisimamia…

Read More

RC RUKWA AIPONGEZA TRA KWA KUWA KARIBU NA WALIPAKODI

::::::: Mkuu wa mkoa wa Rukwa Mhe. Makongoro Nyerere ameipongeza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa kuwa karibu na Walipakodi na kutatua changamoto zao kwa wakati hali ambayo imeleta utulivu katika ukusanyaji wa Kodi nchini. Akizungumza mkoani Rukwa baada ya kutembelewa ofisini kwake na Kamishna Mkuu wa TRA, Bw. Yusuph Juma Mwenda na Uongozi wa…

Read More