
Benki ya CRDB Yashinda Tuzo ya Dhahabu ya Kimataifa ya Uwekezaji Katika Jamii Kupitia CRDB Bank Marathon
Benki ya CRDB imeshinda tuzo ya dhahabu ya Kimataifa ya Uwekezaji katika Jamii (International CSR Awards 2025) kupitia mbio zake za kimataifa ya CRDB BANK International Marathon. Tuzo hii ya hadhi ya juu imetolewa na CSR Society, shirika huru la kimataifa linalotambua na kuenzi mashirika yenye juhudi za uwajibikaji wa kijamii duniani kote lenye makao…