
Usiruhusu simu kudhuru maisha yako
Simu za mkononi zimekuwa sehemu muhimu ya maisha ya kila siku, zikitumika kama nyenzo rahisi ya mawasiliano pamoja na kuongeza ufanisi katika shughuli mbalimbali za kijamii na kiuchumi Hata hivyo, matumizi yake yasiyo sahihi yanatajwa na wataalamu wa afya kuwa na hatari kubwa kwa afya ya binadamu, ikiwa ni pamoja na kuhusishwa na magonjwa yasiyoambukiza…