
UDOM Yabuni Mashine ya Kisasa ya Kuuza Vinywaji Baridi Inayojiendesha
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), kupitia Ndaki ya Sayansi za Kompyuta na Elimu Angavu, kimebuni mashine ya kisasa ya kuuza vinywaji baridi inayojiendesha yenyewe bila kuhitaji uwepo wa mtu kwa ajili ya kutoa huduma kwa mteja. Akizungumza katika Maonesho ya 49 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam…