UMUHIMU WA MALEZI BORA KWA WATOTO

Sajenti Emmanuel Kisiri ambae ni polisi kata wa kata ya Ikoma Wilaya ya Serengeti Mkoani Mara ameendelea kuihimiza jamii kulinda maadili ya watoto Akiendelea na kampeni yake ya Nyumba kwa Nyumba katika kijiji cha Robanda kitongoji cha Momorogoro kata ya Ikoma Wilaya ya Serengeti Mkoani Mara Sajenti Emmanuel aliwakumbusha wazazi na walezi mambo yafutayo: Kumchapa…

Read More

Zitto agusa umasikini wa Watanzania, awapa mbinu

Katavi. Wakati Taifa linaelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 2025, Chama cha ACT Wazalendo, kimewataka Watanzania kupima watawala kama wametimiza malengo ya kupunguza umasikini wananchi kama ilivyoanishwa kwenye Katiba. Chama hicho kimefafanua kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania ibara ya 9 (i) imeanisha juhudi zote zielekezwe katika kuondoa umasikini ambao kimedai Serikali imeshindwa kutekeleza jukumu la…

Read More

Nina wasiwasi na Stars CHAN 2024

TANZANIA tumepata bahati kubwa ya kuandaa mechi ya ufunguzi wa mashindano ya Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wanaocheza Ligi za Ndani (CHAN) 2024 ambazo zitaandaliwa kwa pamoja na sisi, Kenya na Uganda. Kupewa fursa kama hiyo ni jambo la heshima kwani inaonyesha imani kubwa ambayo Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) linalo kwa Tanzania…

Read More

USSD Imekuja na Zawadi Kabambe Leo

KILA siku ni siku mpya ya kushinda zawadi kibao ikiwemo Simu janja aina ya Samsung A25 mpya kabisa kutoka kwa wakali wa ubashiri Meridianbet. Kampeni hii pendwa inaitwa “Jumatano ya Zawadi”. Mteja wa Meridianbet ili ashiriki kwenye kampeni hii ni lazima kwanza awe anatumia USSD au kitochi kwenye kufanya ubashiri mechi zake ambazo anazipenda kutoka…

Read More

Tunalikamata taratibu soko la Waarabu

KWA hapa Afrika, malisho bora zaidi ya kijani yapo katika klabu zinazopatikana Kaskazini mwa Afrika ambako mataifa yote yanazungumza lugha ya Kiarabu. Jamaa klabu zao zina jeuri ya fedha buana na ndio maana zinaweza kupiga hodi kwa klabu nyingi hapa Afrika na zisibishiwe kwa vile zina hela na hapa kijiweni wote tunakubali kwamba mwenye nguvu…

Read More

Mstaafu mfichwa maradhi anapoumbuliwa Kinondoni

Siku chache zilizopita, mstaafu wetu wa Taifa, amemsikia waziri wetu mmoja wa siri-kali  akijibu swali lililoulizwa bungeni kuhusu wazee na  likamfanya kuamini kweli sasa  matibabu ya bure kwa wazee wa miaka 60 na zaidi, yameishia kuwa maneno kwenye kanga tu. Mstaafu wetu siku zote amekuwa akiamini maneno ya wahenga wetu kuwa,  mficha maradhi kifo kitamuumbua, …

Read More