Ilani ya ACT Wazalendo itakayokuwa

Kibondo. Chama cha ACT Wazalendo kimesema, kipo katika hatua za mwisho za kukamilisha maandalizi ya ilani yake ya uchaguzi kwa mwaka 2025/2030, kikisema itakuwa tumaini la ustawi wa kiuchumi na maisha bora kwa Watanzania. Hatua hiyo ni mwanzo kuelekea kufanyika kwa uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025, kikisisitiza kukata tamaa hakujawahi kuwa silaha sahihi ya kutatua…

Read More

Kisima cha Abood Chazua Taharuki, Hakijatoa Maji Tangu Uzinduzi

WANANCHI WA Kata ya Tungi Katika Manispaa ya Morogoro wamelalamikia kitendo kilichofanywa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Morogoro Abdulaziz Abood cha ‘kuwalaghai’ kwa kuzindua kisima ambacho hakitoi maji tangu alipokizindua. Wakizungumza kwa nyakati tofauti kwa masharti ya kutoandikwa majina yao na vyombo vya habari, wananchi hao wamedai Kisima hicho kilichopo katika Kituo cha Afya Tungi…

Read More

Wajane Geita washauriwa kutorubuniwa kuingia ndoa za shinikizo

Geita. Licha ya changamoto mbalimbali zinazowakabili, ikiwemo kunyanyapaliwa, kutengwa na kunyang’anywa mali, wajane mkoani Geita wameshauriwa kutokukubali kurubuniwa kuingia katika ndoa nyingine kwa shinikizo. Badala yake, wametakiwa wajitambue, wawalee watoto wao kwa upendo, na wajielekeze katika shughuli za kujitegemea ili kujijengea maisha bora na yenye heshima. Ushauri huo umetolewa leo Julai 3, 2025, mjini Geita…

Read More

Gamondi, Singida BS ni suala la muda tu!

KUNA taarifa za aliyekuwa kocha wa Yanga, Miguel Gamondi yupo mbioni kujiunga na Singida Black Stars kwa ajili ya kuifundisha msimu ujao. Gamondi aliyejiunga na   Yanga Julai 11, 2023 na akachukua ubingwa wa Ligi Kuu na FA, aliondoka  Novemba 15, mwaka jana imeelezwa sababu ya kujiunga na SBS ni uzoefu alionao ambao mabosi wa…

Read More

Kalage aacha kazi Hakielimu, asema…

Dar es Salaam. Uongozi wa Dk John Kalage katika Shirika la Hakielimu umetamatika baada ya mwanataaluma huyo kutupa karata yake kwenye ulingo wa siasa. Taarifa ya kuondoka Kalage imetolewa na Mwenyekiti wa Bodi wa Shirika hilo, Sylvester Orao akieleza mabadiliko ya uongozi wa taasisi hiyo. Kwa mujibu wa taarifa ya Orao kwa umma aliyoitoa leo…

Read More